KARIBU INFOSCHOOL
INFOSCHOOL ni mfumo wa kimtandao unaoendesha shughuli za shule kidigitali.
Hizi ni baadhi ya Moduli za INFOSCHOOL
- Usimamizi wa Wanafunzi na Wafanyakazi
- Usimamizi wa Fedha na Ripoti
- Usimamizi wa Mawasiliano (SMS nyingi & Barua pepe)
- Usimamizi wa Ada na Michango Mbalimbali ya Vitu na Fedha
- Usimamizi wa Manunuzi na Ugavi
- Usimamizi wa Idara na Uongozi wa Shule
- Usimamizi wa Mishahara kwa Wafanyakazi
- Usimamizi wa Mitihani na Matokeo ya Wanafunzi
- Usimamizi wa Bajeti na Kasma Mbalimbali za Shule
- Usimamizi wa Mali za Kudumu
- Usimamizi wa Taaluma na Udahiri
- Usimamizi wa Walezi na Wazazi
- Usimamizi wa Mapato na Matumizi ya Shule
InfoSchool DEMO - Kikokotozi cha mkopo